Lesson Name: Utungaji

Mada hii inalenga katika kumpatia mwanafunzi ujuzi w namna gani ya kuweza kutambua ujuzi wa tungaji na matumizi mbalimbali ya alama za uandishi.

Mwishoni mwa mada hii mwanafunzi anatakiwa kuweza kufahamu na kutumia ujuzi huo katika kuandika,kutunga na kuchapisha kazi mbalimbali za uandishi.


Digital files