Hii ni mada yenye kumpa elimu mwanafunzi kwa namna gani ya kutumia istilahi za kiswahili kwa usahihi katika uandishi wa habari
Taaluma ya uandishi wa habari yapasa pia kutambua kutumia istilahi zakiswahili kwa usahihi ndio maana ya kuaandaa mada hii ili kumjengea mwanafunzi msingi bora wamatumizi bora ya istilahi.