Lesson Name: Kukua Na Kuenea Kwa Kiswahili Katika Nchi Za Afrika Mashariki

Ni mada ambayo imekusanya mada ndogo ndogo ndani yake zenye kuelezea kwa namna gani lugha ya kiswahili imekua na na kuenea katika nchi za Afrika Mashariki kabla ya uhuru na baada ya uhuru.

Ni mada ambayo baada ya mwanafunzi kujifunza ataweza kujua kwa namna gani lugha ya kiswahili imekua na kuenea kabla na baada ya uhuru katika nchi za Afrika ya Mashariki


Digital files