Ni mada ambayo imekusanya mchnaganuo wa mafunzo wa makosa mbalimbali yanayofanyika katika uandishi wa habari na kuelezea kwa kina namna gani ya kuweza kuepukana na makosa hayo kwa wanafunzi wanaojifunza taaluma ya uandishi wa habari.
Ni mada amabayo baada ya mwanafunzi kujifunza atakuwa ni mwenye uelewa wa kutosha wa makosa mbalimbali ambayo huwa yanatokea katika lugha ambayo huwa na athari kadha wa kadha katika uandishi wa habari hivyo atakuwa ameshajua namna gani ya kuepukana na makosa hayo.