Ni mada ambayo inajumuisha kanuni na taratibu mbalimbali za kuunda tungo mbalimbali za kiswahili.
Mada hii humpa mwanafunzi ujuzi wa kuweza kuelewa namna gani ya kuweza kuandika tungo mbalimbali za kiswahili katika uandishi wa habari.
TARATIBU ZA TUNGO ZA KISWAHILI (104.68kB)