Ni mada ambayo imekusanya mitindo mbali mbali ya lugha na namna inavyotumika katika vyombo vya habari
Mwanafunzi baada ya kujifunza mitindo mbal mbali ya lugha na namna inavyotumika katika vyombo vya habari itamsaidia kujua ni mtindo gani anapaswa kutumia katika mazingira gani na kwa namna gani.