Ni mada iliyokusanya hoja mbalimbali kutoka kwa wanazuoni wa lugha kuhusiana na suala la umahiri wa lugha na mambo gani yanayopelekea mtu kuwa mahiri wa lugha .
Mada hii hufanya mwanafunzi kuweza kuelewa vyema namna gani anaweza kuwa mahiri wa lugha pamoja na kufahamu chnagamoto za umahiiri.