Ni mada ambayo inalenga kumpatia mafunzo ya kujieleza na kusikiliza vema lugha ya kiswahili kwa muandishi wa habari
Ni mada iliyokusanya mbinu na namna ya kuwa msikilizaji bora na muongeaji bora wa lugha ya kiswahili kwenye taaluma ya uandishi wa habari