Lesson Name: Kiswahili Kwa Waandishi Wa Habari Course Outline

Somo linakusudia kumpa mwanafunzi uelewa wa lugha ya kiswahili katika stadi zake zote nne na namna gani ya kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha katika vyombo vya habari.

Somo limejumuisha mada mbalimbali za msingi ambazo kwa ujumla humsaidia mwandishi wa habari katika matumizi bora ya lugha ya Kiswahili katika vyombo vya habari.


Digital files