This course is has been developed against media industry as well as academic requirement. It cover all important topic in order to enable students to be able to use swahili language effectively in media industry.
FUNDISHO LIMEKUWA NA DONDOO NA MAELEZO YA MSINGI KUHUSIANA NA ASILI NA CHIMBUKO LA KISWAHILI
Ni mada ambayo imekusanya mada ndogo ndogo ndani yake zenye kuelezea kwa namna gani lugha ya kiswahili imekua na na kuenea katika nchi za Afrika Mashariki kabla ya uhuru na baada ya uhuru.
Ni mada ambayo imekusanya mitindo mbali mbali ya lugha na namna inavyotumika katika vyombo vya habari
Ni mada iliyokusanya hoja mbalimbali kutoka kwa wanazuoni wa lugha kuhusiana na suala la umahiri wa lugha na mambo gani yanayopelekea mtu kuwa mahiri wa lugha .
Tafsiri ni taaluma muhimu sana na yenye uhusiano wa karibu na Uandishi wa habari kwani mwanafunzi yapasa ajifunje tafsiri kuweza kutambua jinsi na namna ya kutafsiri makala na majarida mbalimbali hususani ya kiuandishi wa habari.
Ni mada ambayo inalenga kumpatia mafunzo ya kujieleza na kusikiliza vema lugha ya kiswahili kwa muandishi wa habari
Hii ni mada yenye kumpa elimu mwanafunzi kwa namna gani ya kutumia istilahi za kiswahili kwa usahihi katika uandishi wa habari
Ni mada ambayo inajumuisha kanuni na taratibu mbalimbali za kuunda tungo mbalimbali za kiswahili.
Ni mada ambayo imekusanya mchnaganuo wa mafunzo wa makosa mbalimbali yanayofanyika katika uandishi wa habari na kuelezea kwa kina namna gani ya kuweza kuepukana na makosa hayo kwa wanafunzi wanaojifunza taaluma ya uandishi wa habari.
Somo linakusudia kumpa mwanafunzi uelewa wa lugha ya kiswahili katika stadi zake zote nne na namna gani ya kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha katika vyombo vya habari.
Mada hii inalenga katika kumpatia mwanafunzi ujuzi w namna gani ya kuweza kutambua ujuzi wa tungaji na matumizi mbalimbali ya alama za uandishi.